| Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina. |
KIKOSI cha Nigeria kimefanikiwa kuingia
hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Dunia 2014 inayoendelea nchini
Brazil usiku huu.
| Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina. |
Timu nyingine za Afrika ambazo bado zinategemewa na mashabiki ni Algeria kutoka kundi H na Ghana ya kundi G. Timu za Afrika zilizoaga mashindano hayo mpaka sasa ni Cameroon na Ivory Coast.
No comments:
Post a Comment