Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti Ndugu Yusuf Manji
kilichotolewa na TEWO Saccos kwa watu na makampuni mbalimbali
yaliyoshiriki katika kuchangia ujenzi wa jengo la TEWO Saccos huko
Temeke
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mjoumbe
wa Bodi ya TEWO Saccos Mama Catherine John (Bi Nyakomba) wakati wa
sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Saccos hiyo huko Temeke jana
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea Tuzo maalum kutoka kwa Mwenyekiti
wa TEWO Saccos Ndugu Sophia Kinega. Mama Salma alipewa Tuzo hiyo kwa
ajili ya ushirikiano wake na Saccos hiyo katika kuchangia kwa kiasi
kikubwa ujenzi wa jengo la ofisi ya TEWO Saccos.
Mwakilishi
wa Kampuni ya Mabasi ya Usafiri Dar es Salaam, UDA, Ndugu Simon
Bulenganiya akikabidhi mfano wa hundi ya sh 30,000,000 kwa ajili ya
ujenzi wa Ofisi ya TEWO Saccos kwa Mwenyekiti wa Saccos hiyo Ndugu
Sophia Kinega wakati wa sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti (Certificate of
Appreciation) Ndugu Philomena Marijani, Afisa kutoka Taasisi ya Wanawake
na Maendeleo,WAMA, kilichotolewa na TEWO Saccos kwa ajili ya
kuwashukuru watu na Taasisi mbalimbali zilizochangia kwa kiasi kikubwa
ujenzi wa ofisi za Saccos hiyo huko Temeke
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanachama wa TEWO Saccos, mwana
Vicoba na wananchi wa wilaya ya Temeke waliohudhuria sherehe ya uwekaji
wa jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi za TEWO Saccos huko Temeke
No comments:
Post a Comment