![]() | ||||||||
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA MH.ABDURAHMAN KINANA |
CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA KIMETHIBITISHA KUWASILI KWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA MKOA WA TANGA KWA AJILI YA MKUTANO WA HADHARA UTAKAOFANYIKA JUMATATU YA TAREHE 5.1.2015 KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO AMBAPO MAMIA YA WAFUASI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WANATARAJIA KUWEPO KUSIKILIZA UJUMBE ALIOKUJA NAO KWA WAKAZI WA JIJI LA TANGA.
MBALI NA KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO KUWASILI DONDOO ILIZOPATA BLOG HII NI KUWA KATIBU MKUU HUYO ATAWASHUKURU WAKAZI WA TANGA KWA KUKIPA USHINDI CHAMA HICHO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOFANYIKA DECEMBER 14,2014.
No comments:
Post a Comment