
Zari akiwa na huzuni kubwa katika jumba hilo.

Diamond na Zari wakiwa katika jumba hilo.

Matembezi ndani ya jumba hilo yakiendelea...kushoto ni Meneja wake Mkubwa Fela

Ilikuwa ni mshituko na mshangao mkubwa juu ya matukio waliyoyaona.

MSANII
nguli wa Bongo Fleva, Nassib Abdul 'Diamond' na rafiki yake wa kike
mganda Zari Hassan wamezuri makumbusho ya taifa ya mauaji ya kimbarti
nchini Rwanda.
Diamond yupo mjini Kigali Rwanda kwaajili ya show kadhaa za mwaka mpya ikiwa ni mwaliko maalum wa East Africa Promotion
Wawili
hao wakiwa katika jumba hilo waliweza kujionea pichja mbalimbali za
mauaji hayo jambo ambalo lilipelekea Zari kububujikwa na machozi
kutokana na picha hizo na maelezo ya mauaji ya 1994 ambayo yaligharimu
uahai wa watu zaidi ya 500,000.
No comments:
Post a Comment