airtel

airtel

.

.

Friday, April 1, 2016

MAKALA YA WIKI HII NA MWALIMU STAMBULI

MKINGA
WALIMU WA WILAYA YA MKINGA NA CHANGAMOTO ZA KUIBUA MBINU MPYA ZA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UFUNDISHAJI,
NA: MWALIMU STAMBULI
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania,imekuwa na dhamira ya dhati ya kuhakikisha Elimu inakuwa kwa kiwango kikubwa na hasa katika uwekezaji mkubwa katika Sekta ya TEHAMA,kwa kuhakikisha mazingira bora na fursa za kitehama zinazokjitokeza zinatumiwa vyema na watumishi wa kila idara ikiwemo idara ya ELIMU,ambayo kutokana na umuhimu wake hakuna budi ya wadau na wanaosimamia Elimu katika wi;laya ya mkinga kuhakikisha wanahimiza matumizi ya istilahi na kutumia programu kadhaa za kompyuta  ambazo zitajanibishwa kwa kiswahili mfano window 7 ya kiswahili ambayo imekuwa mhimili mkubwa katika kurahisisha ufundishaji katika shule za msingi Tanzania imekuwa na watumiaji wachache au walimu wachache wanaotambua jinsi ya kuitumia vyema katika kufundisha.
Blog hii inatoa Rai kwa wilaya ya mkinga kuweka uwekezaji mkubwa katika kukuza TEHAMA ambayo inaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kuwajengea stadi wanafunzi  wetu ambao wameonekana kuwa na ari kubwa katika somo hili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...