|
Add caption |
50 CENT ameongea kuhusiana na single yake mpya na jinsi alivyojipanga kwa mwaka ujao,habari za kuaminika kutoka pande za state zinaeleza kuwa hivi sasa mtu mzima 50cent amekuwa akikesha studio na hii yote ni kuhakikisha anawafurahisha mashabiki wake. Tusubiri ujio wake mpya wadau
No comments:
Post a Comment