airtel

airtel

.

.

Wednesday, December 12, 2012

FILAMU MPYA TANGA

Tasnia ya bongo movie inaendelea kufanya vizuri na sasa safari yetu inatupeleka mkoa wa Tanga ambapo vijana wakishirikiana na msanii mkongwe katika mkoa huo Bwana Ahmed Stambuli watafanya mapinduzi makubwa kwa kutoa filamu yao mpya iitwayo Dhalimu(tyranical person)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...