DJ FUVU a.k.a super brand dj kutoka tanga ni moja kati ya dj mkali ambaye anasumbua mkoa wa tanga katika pita pita zangu za kitaa leo nimeamua kufanyanae maojiano kuhusu music wa bongo na ukuajiwake nijinsi gani unavyo piga atua tumeongea mengi hasa madj chipukizi na mashabiki wake anavyo ishi nao kitaa DJ FUVU ameofunguka nakusema hivi suni atapatikana kwenye blog yake mpya itakayo husisha sana mambo mbali mbali ya sanaa kwa kifupi jamaa yupo poa kwenye mixng za ukweli na ngoma zaukweli
No comments:
Post a Comment