DJ FUVU the super brand dj ni moja ya dj anaye sumbua mkoa wa tanga katika pita pita zangu za kitaa tulifanya maojiano kuhusu music wa bongo jinjsi gani unavyo piga hatua tuliaongea mengi kuhusiana na mdj chipukizi na njinsi gani anvyoishi na mashabiki kitaa jama pia alifunguka kuhusiana na maisha yake jinsi gani wana wanavyo mkubali kitaa nikweli jama mkali wa mixng yani nigumzo mkoa wa tanga usikose mtiririrko wake kila wiki katika mkali wa wiki hii kuhusiana na DJ FUVU super brand dj na kiukweli jamaa ua anampenda sana mama ake mzazi
No comments:
Post a Comment