MWAKA UNAPOKWENDA MWISHONI WANACHUO WA CHUO CHA UALIMU KOROGWE WAMEPATA PIGO KUBWA KWA KUMPOTEZA MWANACHUO WAO KIPENZI MUSA HASHIMU MAARUFU KAMA BIG ALIYEPOTEZA MAISHA WIKI ILIYOPITA KATIKA HOSPITALI YA BOMBO. BLOG HII NA INATOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA WANAFAMILIA WOTE,TULIMPENDA SANA BIG ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI,M.MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. SAL;AMU HIZI ZA DHATI ZIWAFIKIE WADAU WOTE
No comments:
Post a Comment