airtel
.
Thursday, December 13, 2012
TANGA YAKUMBWA NA TATIZO LA MAJI
Mkoa wa tanga jana ulikuwa katika wakati mgumu kutokana na kukosekana kwa huduma ya maji,blog hii ilijitahidi kufika idara ya maji na kutaka kujua nini tatizo ambapo uongozi ulitoa taarifa ya urekebishwaji wa mitambo ya maji, hata hivyo mpaka leo majim katika mkoa wa tanga hayatoki kutokana na zoezi hilo kuendelea hata hivyo juhudi zinafanyika kurejesha huduma ya maji kama kawaida kwani wananchi wamekuwa wakihangaika hata hivyo wananchi wa tanga wametakiwa kuzingatia matangazo yanayotolewa na idara. blog hii inawapa pole wakazi wa tanga kwa kukosa huduma muhimu ya maji na tunajitahidui kuwasiliana na idara ya maji ya mkoa wa tanga kuhakikisha huduma ya maji inarudi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment