Mmiliki wa blog ya darvel-kadashian blogspot hivi karibuni amehitimu taaluma yake ya habari,kijana huyu mcheshi na mtanashati sasa ataendelea kutuhabarisha habari mbalimbali katika blog yake ambayo ni maarufu sana ndani na nje ya dar es salaam,uongozi na timu nzima ya nasta boy blog spot unatoa pongezi za dhati kwa kuhitimu,hongera na karibu sana katika tasnia ya habari
No comments:
Post a Comment