KIJANA RAYMOND AMEWAELEZA VIJANA KATIKA MKUTANO ULIOFANYIKA TANGA BEACH RESORT ASUBUHI YA LEO KUWA HAWANA BUDI KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA BIDII ILI KUHAKIKISHA WANAONDOKANA NA UTEGEMEZI, MWANDISHI WETU DJ FUVU AMBAE ALIKUWEPO ENEO LA TUKIO AMEIELEZA BLOG HII KUWA MKUTANO HUO NI WA SIKU TATU UKIWA NA LENGO LA KUWAHAMASISHA VIJANA KUJITUMA ILI KUONDOKANA NA UTEGEMEZI.
No comments:
Post a Comment