Rapper wa muziki wa kizazi kipya anayewakilisha Moro Town, Stamina atarajia kuachia album yake mapema mwaka 2013... Akiongea na NASTA BOY BLOG, Stamina , mkali wa ngoma kama Kabwela, Alisema, Najuta Kubalehe
na nyingine nyingi, alisema mitaa ya Januari fans wategemee album yake
hiyo ambayo itakuwa itakuwa kwenye mtindo au miondoko ya Hip-Hop ikiwa
imeshiba Track 22 ndani yake.
Stamina ambaye chimbuko lake ni Morogoro,
aliyasema hayo jana na kuongeza kuwa, album hiyo imeshirikisha wasanii
kibao kutoka bongo, kama Rich Mavoko, Fid Q, Mtu Chee na wengine kibao.
Katika hatua ingine, Stamina alisema single yake mpya aliyomshirikisha Fid Q inayojulikana kama Moto Moto
ambayo teaser yake ilishatoka, hii itafuata kuiachia kwenye media kwa
ajili ya fans wake na ipo katika hatua za mwisho za kuimalizia
kuitengeneza na kwamba wakae mkao kwa zigo hilo ambalo yeye mwenyewe
anasema ni kali sanaaa.
That's all new over Stamina, That tight MC from Moro Town u know.... Stay with NASTA BOY BLOG kwa zaidi.
No comments:
Post a Comment