Rapper
Rick Ross ambae siku za karibuni iliripotiwa kutaka kuuawa na members wa kikundi cha
Gangster Disciples (GDs) chenye maskani yake huko
Chicago ambacho kilituma video kikimtaka
MMG Boss kumlipa mwanzilishi wa kikundi hicho,
Larry Hoover. Video hiyo ilisambaa sana na sasa polisi wa Chicago, yaani
Chicago PD imeanza kufuatilia na kufanya uchunguzi kuhusiana na vitisho hivyo.
No comments:
Post a Comment