Kupitia mtandao wa Allhiphop.com leo hii, Miami rap star Rick Ross
hatimae kaonesha tittle ya albam yake inayofuata ambayo itakuwa ni ya
sita.
kupitia mtandao wa jamii mtu mzima Rick ross alifunguka kuhusu jina la albam hiyo ambayo ni Mastermind.
Ross alitakiwa kutambulisha jina la album hiyo siku ya mwaka mpya lakini hakufanya hivyo mpaka leo hii.
No comments:
Post a Comment