Dada wa marehemu (hakufahamika jina lake mara moja) akiwasiliana na ndugu wengine ambao hawapo msibani.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, mwenye T-shirt ya mistari (nyuma katikati) akibadilishana mawazo na wazee msibani hapo.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, mwenye T-shirt ya mistari (nyuma katikati) akibadilishana mawazo na wazee msibani hapo.
Meneja wa marehemu, Bonga Ticha (kushoto) akiwa na meneja wa kundi la muziki la Wanaume Family, Mkubwa Fella.
Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya na mameneja wao wakiwa msibani hapo.
NASTA BOY BLOGSPOT INATOA POLE KWA WANAFAMILIA NA WATANZANIA WOTE KWA KUONDOKEWA NA MSANII OMARI OMAR AMBAE ANAZIKWA MCHANA HUU.
No comments:
Post a Comment