KATIKA HALI YA KUONESHA KUWA ALIKUWA ANAMKUBALI MWANAE,BABA WA MAREHEMU THE GREAT STEVEN KANUMBA AMEFUNGUKA NA KUSEMA YALIYO MOYONI MWAKE,BABA HUYO MACHACHARI NA MCHANGAMFU AMEIAMBIA NASTA BOY BLOGSPOT KWA NJIA YA SIMU KUWA ANAIFUATILIA KESI INAYOMKABILI MSANII WA FILAMU LULU HADI AJUE HATMA YA KESI HIYO MBALI YA KUWA MSANII LULU YUPO NJE KWA DHAMANA.
IMEANDALIWA NA: NURUDINI STAMBULI
No comments:
Post a Comment