airtel
.
Thursday, February 14, 2013
KAULI YA WAZIRI WA ELIMU MH.SHUKURU KAWAMBWA KWA WALIMU WALIOPANGIWA VITUO VYA KAZI NA AMBAO WATACHELEWA KURIPOTI HII HAPA
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE
ZA MSINGI MWAKA 2012/13
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao
majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI,
wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za
Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya
kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO
VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa
kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha
kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti
ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI
KWA WAAJIRI WAO
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment