MH. WAZIRI WA ELIMU SHUKURU KAWAMBWA ALIPOKUWA AKIONGEA NAMI MAPEMA LEO BAADA YA KUKAMILIKA KWA UTENGENEZAJI WA WEBSITE YA WIZARA ILIYOKUWA HAIFUNGUKI KWA TAKRIBANI WIKI MBILI.TANGAZO:AJIRA AU POST ZA WALIMU ZITATANGAZWA
KESHO NA MH.WAZIRI SHUKURU KAWAMBWA WIZARA YA ELIMU,TEGENI SIKIO NA
TEMBELEENI NASTABOY.BLOGSPOT.COM NA HII NDIO KAULI YA WAZIRI KWANGU: Shukuru Kawambwa Bahati mbaya tulichelewa kwa sababu zisizozuilika. Lakini kesho Jumatano, mambo yote kwenye bomba. Tega sikio. Hatukumuacha mtu. Tunawataka waalimu wote!! Lakini wasikwepe shule za vijijini, watoto wanawahitaji sana huko. Tupo pamoja. Tovuti ya wizara sasa inafanya kazi. Nitazingatia maoni yako. Kila la kheri. |
airtel
.
Wednesday, February 13, 2013
BREAKING NEWS:KUTOKA WIZARA YA ELIMU,POST ZA WALIMU KUTANGAZWA JUMATANO HII NA HII NDIO KAULI YA WAZIRI WA ELIMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment