airtel

airtel

.

.

Wednesday, February 13, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA DOLE ALIYOFANYA MABESTE FT DEDDY CHINI YA DIRECTOR NISHER,KAA MKAO WA KUITIZAMA SOON

WADAU WA ILALA NAO WAMEHUSIKA NA NDIO LOCATION PIA

KAKA YANGU EEEH SASA HUYU NDO SHEMEJI?
NISHER AKIWA KAZINI HANA UTANI
HAPA ENEO LA WHITE SAND,MBEZI
HAWA WADAU NAO WAMEHUSIKA,USIWADHARAU
NO COMMENT HII KAZI TUISUBIRI
MABESTE AKIWA KATIKA SCENE YA GARI
CAMERA ILIWEKWA VIZURI KUHAKIKISHA ANGLE ZINAPATIKANA
TUNAWASHUKURU KWA SUPPORT
NIAMBIENI HAPO SHWARI.
FEELING ZA HII NGOMA USIPIME
KAZI IMEANZA 1,2,3 ACTION

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...