Jana ilikuwa ni birthday ya mrembo na mwanamuziki kutoka Marekani, Rihanna ambae ametimiza miaka 25 sasa. Rihanna amesherehekea siku yake hiyo akiwa karibu na mpenzi wake Chris Brown "Breezy" wakiwa katika fukwe za starehe za HAWAII.
Wapenzi hawa walionekana kwa pamoja katika fukwe hizo wakifurahia siku ya kuzaliwa ya Rihanna baada ya Chris kum-join akiwa amefika kwani Rihanna alikuwa huko kabla. Chris na Rihanna walionekana wakitembea ufukweni na pia kukaa pamoja kwa furaha sana.
Baadae, mrembo Rihanna alitupia picha katika mtandao wa Instagram ukiwaonesha yeye na Breezy pamoja na baadhi ya marafiki.
Wapenzi hawa walionekana kwa pamoja katika fukwe hizo wakifurahia siku ya kuzaliwa ya Rihanna baada ya Chris kum-join akiwa amefika kwani Rihanna alikuwa huko kabla. Chris na Rihanna walionekana wakitembea ufukweni na pia kukaa pamoja kwa furaha sana.
Hebu ngoja nikakuoneshe kitu kizuri wenye wivu waongeee,HAPPY BIRTHDAY RIHANA |
No comments:
Post a Comment