airtel

airtel

.

.

Friday, February 22, 2013

WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WAPATA MTOTO WA KIUME

Wiz Khalifa is a Proud Father!!!
Wachumba wa muda mrefu sasa, Rapper kutoka kundi la Taylor Gang, Wiz Khalifa na mchumba Amber Rose wamepata mtoto wa kiume.
Mtoto huyo ambae amepewa jina la Sebastian Taylor Thomaz a.k.a The Bash amezaliwa mchana wa siku ya Alhamisi.
Mapema leo, Wiz aliweka picha katika ukurasa wake wa Instagram, ikiwa na caption "Daddy Time" huku akionekana kuvaa mavazi ya hospitali na baada ya muda mfupi aliandika "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone welcome this perfect young man into the world" akimkaribisha mwanae wa kiume duniani.
Tayari mastar wa Marekani ambao wako karibu na wazazi hawa wameanza kuwapa hongera akiwemo rapper Busta Rhymes na wengineo...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...