RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MABALOZI WAWILI MJINI DODOMA.
MKAITANGAZE TANZANIA VYEMA NA MKAJITUME KATIKA KAZI.Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu
Abdulrahman Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.…
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu
Abdulrahman Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal
wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu
Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman
Shimbo (kulia), anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony
Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania Congo DR. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DR.Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais
Dkt Mohamed Gharib Bilal pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni
Sefue na Makatibu wakuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
No comments:
Post a Comment