UMATI WA WASANII NA WADAU WA MSANII KASHI WAKIWA WAMEUBEBA MWILI WAKE KUELEKEA MAKABURINI. |
SEHEMU MAALUM ILIYOANDALIWA KWA AJILI YA MAZIKO |
USTAADHI AKIMSOMEA DUA MAREHEMU |
WASANII NA MARAFIKI WA MAREHEMU WALIOJITOKEZA KATIKA KUMAGA. |
WENGI WAKIMLILIA HUKU WAKIWA HAWAAMINI WANACHOKIONA |
KABURI LIKIANDAALIWA |
WASINDIKIZAJI WALIOBEBA MWILI WA MAREHEMU WAKIELEKEA MAKABURINI |
MAREHEMU JAJI KHAMIS A.K.A KASHI ENZI ZA UHAI WAKE |
hakika sisi ni wa m.mungu na kwake tutarejea
ReplyDelete