: Rais Jakaya Kikwete Mkurugenzi Mkuu wa Irrigation System Ltd Bw. Choudhari Pramot
baada ya maongezi naye leo Ikulu jijini
Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth
Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake
leo Ikulu, jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya
Chemicals baada ya kukutana naye leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete Mkurugenzi Mkuu wa Irrigation System Ltd Bw. Choudhari Pramot
baada ya maongezi naye leo Ikulu jijini
Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa
Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha
Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa
Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha
Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkuu
wa Kiwanda cha Mansoor Daya Chemicals alipokutana naye leo Ikulu jijini Dar es
salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Irrigation System Ltd Bw. Choudhari Pramot na
ujumbe wake aliokutana nao leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir
Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini
Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A.
Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar
es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Celina
Augustine M. Wambura kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Gharib Bilali wakipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Maadili ya
Viongozi wa Serikali Mhe Hamisi Amiri Msumi pamoja na wajumbe wapya Mhe Hilda
A. Gondwe na Mhe Celine Augustine M. Wambura na viongozi wa Tume hiyo leo Ikulu
jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe Hamisi Amir Msumi na familia yake baada ya
kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na
Mhe Hilda A. Gondwe na familia yake baada ya kumuapisha kuwa
Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na Mhe Celina
Augustine M. Wambura na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mjumbe wa Baraza
la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha Zote na IKULU
No comments:
Post a Comment