ROMA MKATOLIKI AELEZA YA MOYONI
msanii roma kutoka tanga tanzania,ameamua Rasmi kujiunga na chama cha CHADEMA ili kuendeleza harakati zake za kufikisha ujumbe wa masuala mbalimbali yanayoihusu jamii kupitia mziki wake, akiwasiliana na CEO wa blog hii Nurudini stambuli,Roma ameeleza kuwa kupitia chama hicho ataweza kuibua mambo mengi yanayohusu jamii na ukombozi wake.
JIPANGE SANA ROMA KWA 2014 TUNATEGEMEA MENGI KUTOKA KWAKO
ReplyDelete