Katika hali isiyoyakawaida Shule ya Msingi Machala iliyopo Bagamoyo,ina Mwalimu mmoja afundishaye kuanzia chekechea hadi darasa la saba,inawanafunzi zaidi ya 150 watumiao chumba kimoja kama darasa Pia wanafunzi wote hutumia Ubao wa kufundishia mmoja tu . Lakini katika matokeo ya Darasa la Saba Mwaka huu, wanafunzi wake wote 12 walifaulu kuingia kidato cha kwanza. Je! shule hii inastahili nini? |
No comments:
Post a Comment