Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na Maofisa,
Wakaguzi , Askari na watumishi raia wa Jeshi la Polisi kutoka Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na Vikosi vya
Jeshi la Polisi (hawapo pichani) katika kikao chake cha kwanza na
watendaji hao baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo.Kikao hicho
kilifanyika jana katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Ostarbay
jijini Dar es Salaam.(Kushoto) ni Naibu IGP Abdulrahman Kaniki na
(kulia) ni Kamishna wa fedha na Usafirishaji wa watu na vifaa Clodwing
Mtweve.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akizungumza na
Maofisa, Wakaguzi , Askari na watumishi raia wa Jeshi la Polisi kutoka
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na Vikosi
vya Jeshi la Polisi (hawapo pichani) katika kikao chake cha kwanza na
watendaji hao baada ya kuchaguliwa kushika wadhifa huo.Kikao hicho
kilifanyika jana katika Ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi Ostarbay
jijini Dar es Salaam.(Kushoto) ni Naibu IGP Abdulrahman Kaniki, Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo Paul Chagonja na Kamishna wa Kanda Maalumu
Suleman Kova (kulia) ni Kamishna wa fedha na Usafirishaji wa watu na
vifaa Clodwing Mtweve, DCI Issaya Mngulu na Kamishna wa Polisi Jamii
Mussa Alli Mussa.Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment