Walimu wa shule ya msingi zingibari kwa pamoja jana walifika na kutoa pole kwa mwalimu mwenzao Agnes Vitalis lukwaro aliyejifungua katika hospitali ya bombo na baadae mtotowake kufariki tarehe 11.2.2014 siku hiyo hiyo aliyozaliwa.
Walimu hao kwa umoja waowaliugana na mfiwa kwa kumfariji huku wakiongozana na Mratibu Elimukata ya Moa Maulidi Mtege ambae aliwasisitiza wanafamilia kuwa na subra katika kipindi hiki kigumu.
BLOG HII INATOA POLE ZA DHATI KWA FAMILIA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU NA INAWAOMBEA SUBRA,KHERI NA UVUMILIVU MKUBWA.
HAKIKA SISI WA M.MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
Imeandikwa na; NURDINI STAMBULI
CEO;www.nastaboy.blogspot.com
phone; 0653624186
natoa pole kwa mfiwa m.mungu ampe moyo wa subra
ReplyDeletePOLENI SANA
ReplyDelete