Wiki hii mrembo Jennifer Lopez alikuwa busy kushoot video mbili za
muziki. Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin
uitwao, “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na
Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil
2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami.
Tazama picha za tukio hilo.
No comments:
Post a Comment