Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
--
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe ataongoza wabunge 40 wa chama hicho kwenda kuongeza nguvu
katika kampeni za lala salama za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga,
mkoani Iringa.
No comments:
Post a Comment