airtel

airtel

.

.

Sunday, June 15, 2014

MBUNGE WA TANGA MJINI KUFUNGA LIGI YA MPIRA WA MIGUU KATIKA KATA MABAWA LEO

Mbunge wa Tanga mjini mh.omar nundu anatarajia kufunga ligi ya mpira wa miguu kata ya mabawa leo baada ya jana zoezi hilo kushindikana kutokana mchezo huo kuchelewa kuanza na hatimae timu shindani kutoka sare ya goli moja kwa moja na hivyo muamuzi kuamuru kupigwe penati ili aweze kupatikana mshindi.
Mh. OMAR NUNDU(MBUNGE) aliyekuwa mgeni rasmi aliwaomba waamuzi mchezo huo urudiwe leo saa kumi jioni ili m
shindi apatikane na aweze kutoa zawadi kwa bingwa atakayeibuka mapema leo.
mbunge huyo mwenye ari ya kuinua michezo katika jiji la Tanga ameahirisha safari yake ya kurejea bungeni leo hadi hapo ligi hiyo itakapomalizika jioni ya leo kwa kupatikana bingwa ambae atachukua kombe hilo.
habari zaidi utaendelea kuzipata katika blog hii baadae katika mchuano huo mkali utakaonguruma mapema saa kumi jioni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...