Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina. |
KIKOSI cha Nigeria kimefanikiwa kuingia
hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Dunia 2014 inayoendelea nchini
Brazil usiku huu.
Ahmed Musa (kulia) akishangilia na wenzake wa Nigeria baada ya kuifungia timu yake bao la pili dhidi ya Argentina. |
Timu nyingine za Afrika ambazo bado zinategemewa na mashabiki ni Algeria kutoka kundi H na Ghana ya kundi G. Timu za Afrika zilizoaga mashindano hayo mpaka sasa ni Cameroon na Ivory Coast.
No comments:
Post a Comment