airtel

airtel

.

.

Wednesday, June 25, 2014

UKARABATI WA NYUMBA YA SHULE YA MSINGI ZINGIBARI UPO KATIKA HATUA NZURI NA HIZI NI PICHA ZA MUONEKANO WAKE

nyumba ikiwa katika matengenezo

sehemu ya pembeni


picha ya muonekano wa jengo lililofanyiwa ukarabati

JUHUDI ZA KUKARABATI NYUMBA ZA WALIMU KATIKA WILAYA YA MKINGA UNAENDELEA VYEMA KAMA ULIVYO PANGWA.
KAMATI YA KUSIMAMIA UJENZI HUO  IMEJIPANGA VYEMA KUHAKIKISHA UJENZI HUO UNAKAMILIKA KWA WAKATI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...