Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
Polisi akidumisha ulinzi wakati wa mapokezi ya Maximo.
Maximo akiwanyooshea mkono mashabiki wa Yanga.
Mashabiki waliofika kumpokea Maximo.
Mashabiki wa Yanga wakipozi na kocha wao mpya.
Kocha
Marcio Maximo ametua jijini Dar muda mfupi uliopita kwa ajili ya
kukamilisha mchakato wa kuanza kuifundisha timu ya Yanga. Maximo
amepokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere na mashabiki wa Yanga.
(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)
No comments:
Post a Comment