Mhe. Childress akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili Ofisini kwa Mhe. Membe
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(Mb.) akimkaribisha kwa furaha na kwa mara ya kwanza ofisini kwake
Balozi wa Marekani hapa nchini, Mhe. Mark Childress alipofika e kwa
ajili ya kujitambulishana pia kuzungumzia masuala ya ushirikiano kati ya
Tanzania na Marekani.
Mhe. Membe na Mhe. Childress katika picha ya pamoja.
Mhe. Membe na Balozi Childress wakiwa katika mazungumzo
Mhe. Childress na ujumbe aliofuatana nao wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani)
Picha
ya pamoja kati ya Mkhe. Membe na Mhe. Childress pamoja na Maafisa
kutoka Ubalozi wa Marekani na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya
Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.
Mindi Kasiga (wa kwanza kulia).
No comments:
Post a Comment