Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond'.
Cheti kutoka Kora alichopokea Diamond Platnumz.
STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa
tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika
Mashariki. Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti
cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu zaidi.
No comments:
Post a Comment