Mechi
ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga inaendelea katika Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
Mpaka sasa Yanga wanaongoza kwa mabao 3-2. Wafungaji Simba: Maji Marefu (11) na Yusuf Gogo (3). Yanga: Idrissa Kitwana (7), Ahmed Ngwali (11), Mark Tanda (2).
Mfungaji wa bao la kwanza la Yanga akishangilia.
Yanga wakishangilia bao lao.
Mtanange ukiendelea.
No comments:
Post a Comment