Ikiwa
tunaanza mwezi julai leo, kutoka Mamlaka ya
Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA ambao wametangaza kushuka
kwa bei mpya za mafuta ya vyombo vya moyo ikiwemo magari na mashine. Bei
hizi elekezi zimeanza kutumika rasmi leo July 1, 2017.
Nimekuwekea hapa chini bei za mafuta kwa nchi nzima kuanzia kesho Jumamosi July 1, 2017.
No comments:
Post a Comment