Rapper wa Marekani, Future amethibitisha show yake ya Tanzania, Julai 22.
TANZANIA YATAJWA KATIKA ZIARA YA MSANII WA MAREKANI FUTURE
Future ametoa orodha ya ziara yake ya muziki ya ‘The Future Hendrxx
Tour’ na Tanzania ni moja ya nchi ambayo Tour hiyo itatembelea.
Future atatumbuiza Tanzania pamoja na Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Navy Kenzo na Weusi.
No comments:
Post a Comment