
Sasa habari kamili kutoka kwa rapper huyo ni kuwa amesema kuna uwezekano wa kundi la G-Unit kufanya kazi pamoja tena. Kundi hilo ambalo lililokuwa likiundwa na rappers watatu ambao ni Tony Yayo, 50 Cent pamoja na Loyd Banks. Lakini rapper 50 Cent aliongeza na kusema kuwa kwa sasa bado anafanya vitu vyake muhimu ikiwemo pia na muziki anaoufanya kama Sollo Artist.
No comments:
Post a Comment