NINARUDI NA MIKAKATI MIPYA YA KUBORESHA SOKA,KAENI MKAO WA KULA
Taarifa rasmi kutoka kwenye klabu hiyo iliyotolewa muda mfupi uliopita inasema kwamba Guardiola atachukua majukumu yake ya kuwa manager mpya wa timu hiyo baada ya msimu wa 2012-2013 kuisha, na amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha timu hiyo inayoongoza ligi ya Bundesliga.
No comments:
Post a Comment