Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Dr Jakaya kikwete amefurahi sana kutokana na ziara ya mwenyekiti wa AU ambae pia ni raisi wa benin mh.Boni yayi,huku akiita ziara hiyo ni ya mafanikio makubwa na itajenga ushirikiano mkubwa wa nchi hizo mbili.


No comments:
Post a Comment