
Mwanadada machachari kutokea kwenye Industry ya Filamu
Tanzania, Wema Sepetu kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa picha unaoitwa
Instagram ameachia picha ambayo inaonesha ni logo ya kampuni yake mpya ya
Endless Fame Film. Kampuni ambayo aliitangaza kipindi cha nyuma ambayo itakuwa inajihusisha na maswala ya filamu
Tanzania.
Sambamba na kuachia picha hiyo
Wema amewataka Watanzania kumwombea
Dua
ili kufanikisha adhma yake hiyo ambayo itakuwa na msaada mkubwa kwenye
sanaa ya filamu Tanzania na hata kuinua vipato vya Wasanii.
No comments:
Post a Comment