KUTOKA BARCELONA: SHAKIRA ASEMA MWANAE MILLAN NI MWANACHAMA WA FC BARCELONA
Muimbaji SHAKIRA tayari ametangaza habari
kwenye tovuti yake, akisema mwanae ameshaanza kufuata nyayo za baba
yake, mwanasoka Gerard Pique, akisema: "Kama baba, mtoto Milan amekuwa
member wa FC Barcelona baada tu ya kuzaliwa."

Aliongeza: "Tuna furaha kutangaza
kuzaliwa kwa Milan Pique Mebarak, mtoto wa Shakira Mebarak na Gerard
Pique, aliyezaliwa January
22nd at 9:36pm, jijni Barcelona, Spain.
No comments:
Post a Comment