USHAHIDI WA PICHA WA SEHEMU YA NYUMBA YA MH.HAWA GHASIA ILIYOTEKETEZWA KWA MOTO NA WANANCHI WA MTWARA
SEHEMU YA NYUMBA YA MH.HAWA GHASIA ILIYOTEKETEZWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI,KIUKWELI HALI SI SHWARI NA JESHI LA POLISI LINAJITAHIDI KUDHIBITI HALI YA UVUNJIFU WA AMANI MKOANI HAPA.
ZAIDI TUTAENDELEA KUWAJULISHA KINACHOENDELEA HAPA MKOANI MTWARA.
No comments:
Post a Comment