SAKATA LA GESI YA MTWARA: WANANCHI WAITISHA MKUTANO NA KUWEKA MAAZIMIO YAO KUWA GESI HAITOKI
MTWARA KUMEKUCHA SUALA LA GESI,LAJADILIWA BILA KUJALI MVUA ILIYOKUWA IKINYESHA,PAMOJA NA AHADI ZA SERIKALI YETU KUSIANA NA SAKATA HILI LA GESI BADO WANA MTWARA WANAKABILIWA NA KERO NYINGI IKIWEMO UKOSEFU WA AJIRA NA KUTOKUTIMIZWA KWA AHADI ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI.
BLOG HII INAISHAURI SERIKALI KUTATUA MZOZO HUU WA GESI KWA KUWAPATIA WANANCHI FURSA YA KUWASIKILIZA WANACHOHITAJI NA KUTIMIZA AHADI YAKE YA MAMBO ILIYOWAAHIDI WANANCHI WAKE, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU WABARIKI WANA MTWARA WAKA E MEZA MOJA NA SERIKALI.
No comments:
Post a Comment