airtel

airtel

.

.

Saturday, January 19, 2013

SAMSUNG: TUTAINGIZA SOKONI SIMU INAYOKUNJIKA NA ISIYOVUNJIKA,WATEJA WETU KAENI TAYARI

Photo: Samsung shows off 'unbreakable' phone which rolls up like paper!

What do you think of this phone? 

http://ow.ly/gTnlV
Screen inatumia technolojia ya  OLED- organic LED kama smart phone nyingi za sasa lakini ikiwa kwa mfumo wa plastic badala ya glass.
Samsung wamewashangaza watu sana wiki hii, huko Las Vegas kwa screen ya simu inayofanya kazi na yenye uwezo wa kujikunja kama karatasi.
screen inaendelea kufanya kazi licha ya kukunjwa  na kukunjuliwa, wakionyesha kuwa ni bora zaidi kuliko screen zinazokunjika pekee.
chezea dijitali wewe jipange na kuwa tayari kuipokea simu hii mpya na ya kisasa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...