Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), Leodegar Chillah Tenga ametangaza rasmi kutogombea tena uongozi
wa shirikisho hilo, baada ya kulitumikia kwa miaka minane. Pichani ni
Tenga mwenye umri wa miaka 58 akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye
ukumbi wa mikutano wa TFF mchana wa leo.
No comments:
Post a Comment